Author Archive for: Management
About Management
This author has yet to write their bio.Meanwhile lets just say that we are proud Management contributed a whooping 6 entries.
Entries by Management
HIMSO builds capacity for Coordinators in Songwe and Mbeya Regions
February 22, 2022 /0 Comments/by ManagementCALL FOR PROPOSAL FINANCIAL AUDIT
Call for Proposal for Financial Audit
Call for Proposal – Supply and delivery of Office Equipments
CALL FOR PROPOSAL FOR SUPPLY OF OFFICE EQUIPEMENTS
DHARULA FASTA INAOKOA MAISHA

Huduma ya usafiri wa dharula (DharulaFasta) itolewayo na HIMSO katika mkoa wa Songwe na Mkoa wa Mbeya inaokoa maisha ya watu wengi hasa kutoka katika familia maskini na maeneo yasiyokuwa na miundombinu ya uhakika na inayopitika wakati wote.
Usafiri huu wa dharula umeokoa maisha ya mama na mtoto, kinamama wajawazito na jamii kwa ujumla hasa wanapopatwa na maradhi na kuhitaji kupelekwa hospitalini haraka.
HIMSO YATOA PIKIPIKI TANO KWA MKOA WA SONGWE ILI KURATIBU CHF ILIYOBORESHWA
Shirika la HIMSO lenye makao makuu jijini Mbeya, limetoa pikipiki tano (5) kwa mkoa wa Songwe kwa ajili ya kuratibu shughuli mbalimbali za CHF iliyoboreshwa mkoani humo. Pikipiki zitatumiwa na ofisi za CHF Iliyoboreshwa za halmashauri za mkoa huo ambazo ni Momba, Ileje, Songwe, Tunduma na Mbozi. Pikipiki hizo za aiana ya YAMAHA na Honda […]
CONTACT US
Call Us : (+255) 25 250 0887
Email Us : [email protected]
Visit Us : Plot No.157 Jacaranda Rd
P.O BOX 2827,
MBEYA CITY.
ACHIEVES
- April 2022 (1)
- February 2022 (1)
- January 2022 (2)
- November 2021 (1)
- August 2021 (1)
- January 2012 (1)
- February 2011 (1)