Huduma ya usafiri wa dharula (DharulaFasta) itolewayo na HIMSO katika mkoa wa Songwe na Mkoa wa Mbeya inaokoa maisha ya watu wengi hasa kutoka katika familia maskini na maeneo yasiyokuwa na miundombinu ya uhakika na inayopitika wakati wote. 

Usafiri huu wa dharula umeokoa maisha ya mama na mtoto, kinamama wajawazito na jamii kwa ujumla hasa wanapopatwa na maradhi na kuhitaji kupelekwa hospitalini haraka.

0 replies

Leave a Reply

Want to join the discussion?
Feel free to contribute!

Leave a Reply

Your email address will not be published.